O
Waziri wa uvuvi na maendeleo ya mifugo, Dr David Mathayo akiangalia mandhari ya ndani ya machinjio ya nyama jijini Arusha wakati alipofanya ziara ya kutembelea machinjio hayo na kuona kazi zinazofanywa, ambapo aliahidi watazuia nyama zote zinazotoka nje ili kukuza soko la ndani.
ziara kwenye machinjio
Reviewed by bongo qualities
on
8:32 AM
Rating: