Kama unakumbuka siku zilizopita kulikuwa na Beef nzito kati ya Weusi na
Nikki Mbishi lakini katika beef hiyo tulijua kama imeisha kumbe ndo
kwanza bado wanazidi kurushiana maneno katika mitandao.Na hii ndiyo
ujumbe ambayo Nikki Mbishi na Nikki wa pili wakipeana majibizano katika
leo katika wa twitter mtandao.
NIKKI WA PILI NA NIKKI MBISHI STILL BIFFU LINAENDELEA
Reviewed by bongo qualities
on
7:59 AM
Rating: 5