Plots for Sale in Arusha - Viwanja Vinauzwa Arusha
NAUZA VIWANJA VIZURI VYA UKUBWA TOFAUTI KAMA
MITA 10X10 BEI TSH. 900,000. MITA 10X15 BEI TSH. 1,350,000
MITA 10X20 BEI TSH. 1,800,000. MITA 15X20 BEI TSH 2,700,000
MITA 20X20 BEI TSH. 3,600,000. VIPO MURIET MLIMA WA MORAM KUPITA DAMPO LA KWA MROMBO ARUSHA, KUNA MAJI YA BOMBA, UMEME UKO MBALI KIDOGO, KUNA MAZINGIRA MAZURI NA WATU WENGI WAMEJENGA HUKO. VIWANJA VIPO KARIBU NA SHULE ZA INTEL ENGLISH MEDIUM NA KISIMANI ENGLISH MEDIUM NA VIPO KATIKA HALMASHAURI YA LA JIJI LA ARUSHA.

Price: TSH 900,000
Phone: +255 767 840 806
Area: Arusha -
UKIFIKA KWA MROMBO FUATA BARABARA YA DAMPO UTAONA KIBAO CHA SHULE YA SOJEMA ENGLISH MEDIUM, FUATA BARABARA HIYO MOJA KWA MOJA AU ULIZA KWA PATEL NA HAPO NDIPO VIWANJA VILIPO. AU FIKA OFISINI KWETU (LANDSTEP SALES AGENT) KWA MROMBO CHECK POINT, SIMU 0767 840806 AU 0655 840806
Plots for Sale in Arusha
Reviewed by bongo qualities
on
6:54 AM
Rating: