40 X 15 - 600SQRMT Plot for Sale at Kwa Mrombo Arush
Price: TSH 5,200,000
Phone: +255 767 840 806
Area: Arusha -
KIWANJA KIZURI KWA UJENZI WA NYUMBA YA KUISHI, KINAUZWA, UREFU MITA 40 NA UPANA MITA 15, KIPO MURIET KWA MROMBO, KIMEPAKANA NA SHULE YA MSINGI KISIMANI ENGLISH MEDIUM NDANI YA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA, MAJI SAFI YAPO, KINA BARABARA MBILI ZA KUINGILIA, KINA MANDHARI NZURI SANA NA VIEW YA MLIMA KILIMANJARO.
UKIFIKA KWA MROMBO ULIZA SHULE YA KISIMANI ENGLISH MEDIUM, UPANDE WA MAGHARIBI WA SHULE NDIPO KILIPO KIWANJA KIKIWA KIMEPAKANA KABISA NA SHULE. MAELEZO ZAIDI FIKA OFISINI KWETU LANDSTEP SALES AGENT (KWAMROMBO CHECK POINT) SIMU 0767 840 806 NA 0655 840 806
40 X 15 - 600SQRMT Plot for Sale
Reviewed by bongo qualities
on
6:52 AM
Rating: