mgomo

Wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi ya  Sogea Satom ya nchini Ufaransa inayojenga barabara kati ya Arusha - Minjingu, mkoani Manyara wakiwa nje ya lango la Ofisi eneo la Kisongo, wilayani Arumeru mkoani Arusha jana,baada ya kugoma wakidai kupunjwa malipo na kufanya kazi zaidi ya muda wa kazi.


“Hatuwezi kufanyakazi katika mazingira ya namna hii,huu ni unyanyasaji wa hali juu,Rais Kikwete alizindua barabara hii lakini  hata wiki mbili hazijaisha  tunanyanyaswa,” alisema Omary Athuman.
mgomo mgomo Reviewed by bongo qualities on 3:32 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.