Wachezaji wa harambee stars wakiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Mwanza jana, kwa ajili ya mchezo kati ya timu hiyo na Taifa Stars, kesho kwenye uwanja wa CCM Kirumba.