Hizi ni baadhi ya picha ya kiwanda cha General Tyre arusha ambacho kwa sasa kipo kwenye matengenezo lakin bado ni kipya sana hasa katika upande wa mashine