Beki wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Aggery Morris (kulia) akifunga bao la kichwa wakati wa mechi ya kirafiki ya Kimataifa dhidi ya Harambee Stars ya Kenya kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza jana.
"Taifa Stars ilikuwa haijakaa pamoja kwa muda wa miezi mitatu iliyopita, hivi sasa ndiyo tumepata nafasi ya kujiandaa kwa muda wa siku mbili na kucheza mechi hii, naamini wachezaji wanastahili pongezi kwa ushindi tulioupata,"alisema Poulsen.
Taifa Stars yalipa kisasi kwa Harambee Stars
Reviewed by bongo qualities
on
10:24 PM
Rating:
